ILI UWEZE KUTOA UCHAWI KWENYE MWILI +255765096628


ILI UWEZE KUTOA UCHAWI KWENYE MWILI: kwa msaada zaidi piga simu +255765096628

Kitu cha kwanza ni kujua kama umelogwa au umelaaniwa na mtu:

Tizama kama kuna mtu ana sababu ya kukuloga. pima kwanza sababu uliyonayo inayoweza kumpelekea mtu kukuloga au kukutia laana(kijicho). Je, kuna mtu anaetamani uharibikiwe au uumwe au ufilisike n.k, ni ngumu kulogwa na mtu ambaye hakujui wala hamjawahi kufahamiana nae, ni kwa sababu huwezi kumkosea yeyote hadi afikie kukufanyia ubaya ikiwa hakujui unless anakufahamu fika na umewahi kumkosea ndio atatamani kukutia malogo.

zifuatazo ni aina za laana na malogo ambayo mtu huweza kukuwekea:
Libwata, kukufanya umpende hali ya kuwa kiukweli hukuwa na mapenzi nae.
Kisasi cha kukuloga
nuksi
hasira za kupindukia
Kukosa usingizi na mlolongo wa njozi mbaya

2
tizama kama umeanza kuwa na bahati mbaya katika mambo yako. kama kila unachofanya kinakuwa kinagoma, hiyo maana yake ni kwamba tayari kuna mtu keshakulipua bomu sasa ni muda wa kuliponya. na kama kila siku mambo yako mazuri yanaenda yanaisha na unaenda unakosa muelekeo bila sababu za msingi, hayo yote yanawezekana kusaidika na kuwa solved.

Hizi ni baadhi ya dalili unaweza kuzihisi kama kuna mtu kashakuloga

Unakuwa unajiskia kuumwa mara kwa mara hasa hasa maradhi yanayokuja na baridi kali kweli mifupa au mwili kama umepondwa

unapata ushindi mdogo katika kila jaribio dogo, hata kama ulijiandaa vya kutosha na kukesha ukifanyia mazoezi

unapata mvurugiko wa jambo pale linapoanza kwenda kukaa sawa,

au kukosa kukutana na mwenza mliozungumza mkutano anashindwa kufika,

usafiri kukwama ukiwa unaenda sehemu mradi tu usifike kwa wakati,

Ndugu wanakuwa wanafanya mambo yao bila hata kukukumbuka wala kukujulia hali wanakua kama wanakusahau kama upo
3
Lakini tambua sio kila kitu kibaya kinachomtokea mtu ni kwa sababu ya kulogwa. haijarishi ni kiasi gani bahati yako inashuka kila siku haihusiani na laana au kulogwa kupanda kwa bahati na kushuka ni somo lingine hapa nazungumzia uchawi,kijicho na laana.

Hata kama una maadui wachache, ni kawaida mmoja kati yao kuwa na uwezo wa kukuchezea na kukuharibu tu. fikiria pia kwa uliyeoa kwa nini mke wako haendi vile ulivyokua nae mwanzo na ukiangalia hamna sababu ya msingi basi jua moja kwa moja kuna hasidi kashavamia ndoa hiyo sasa waweza kijua kwa maelezo haya

SAFISHA ROHO YAKO:
1
Tumia hirizi kujikinga kwanza hirizi inaweza kuwa moja kati ya hizi hapa?

nywele zako wakati upo mchanga?
kucha za fisi au mkia wa mnyama aitwa swala musk ambaye hutumika kukamuliwa mafuta ya miski?
kipande cha aya za dini ya imani yako?
mti shamba wowote wenye kukinzana na uchawi mfano mzaituni?

Kubwa kuliko yote ni kuchonga pete ya kukukinga ambayo itakuwa na madini ya nyota yako kwa upande wa kinga na kito chake kama huvifahamu basi ni email niweze kukutajia au dondosha comment hapo chini.

2
Oga na maji ya rose water na ukiwa umeyachanganya na majani ya zaituni yaliyochemshwa au majani ya mkunazi. Oga zaidi ya siku 3 ili uweze kuanza kusikia upungufu wa maumivu sehemu zile zinazouma baada ya hapo weka:
Chumvi ya mawe
karafuu
pakanga
pacholi
patchouli
muosha fedha
habat nuksi

3
Choma udi karaha ziwe miti 12 anza mmoja baada ya mwingine huku ukisema nafukuza laana na mapigo yote yaliyotumwa kwangu yakae mbali na mimi na yasimkumbe yeyote pale yatakapo toka kwangu, usiseme yarudi kwa aliyeyatuma maana akijua umetoa kazi unayo,

Haltiti,kiberiti upele na udi karaha ni dawa zinazokera wachawi na kuvunja kamba za kichawi hivyo ni vyema zaidi kama utazifunga kwenye kitambaa na kuweka kwenye pochi yako hadi hali hiyo ikuondoke.
?

Kuondoa kwa kutumia nguvu chanya:?
Nenda kwa mashehe au mapadre wakuombee uweze kupona kwa kupitia imani hizo pia kama unaimani thabiti huko ikiwa unaona dalili hizo zipo na huo niliokuelekeza hapo ni mlolongo mrefu..

Comments

Popular posts from this blog

JINSI YA KUITA JINI NA KUPATA UNACHOTAKA (SALSAL) +255 765 096 628

UHUSIANO WA NYOTA UTAJIRI NA MALI simu +255 765 096 628

TIBA ASILIA YA NGUVU ZA KIUME KWA MWANAUME ALIYE ATHIRIKA NA PUNYETO +255 765 096 628